Quicklists
Premium

MTOLEA AJIHUDHURU UBUNGE

Published :  5 months ago

Clouds360

Mbunge wa Temeke Mhe. Abdalla Mtolea ametangaza kujihudhuru Ubunge kwenye chama cha CUF kutokana na mgogoro uliopo kwenye chama huko. Mbunge huyo ametangaza muda huu akiwa Bungeni kujihudhuru Ubunge kutokana na mgogoro. "Kama kuna chama kinahitaji kufanya kazi na mimi nakikaribisha CHADEMA,CUF ata CCM." Mhe. Mtolea0 Comments