Quicklists
Premium

MO MUSIC NA MENEJA WAKE WAPATA MABUSHA

Published :  5 months ago

Clouds360

Msanii wa Bongo Fleva Mo Music pamoja na Meneja wake wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kupata kisanga cha kuwa na busha jambo lililotokana na wao kumdhurumu promota ambaye ndiye anayedaiwa kuwafanyia jambo hilo.0 Comments