Quicklists
Premium

ALIKIBA MAZOEZI YAKE NI BALAAA!!

Published :  5 months ago

Clouds360

Sio kwamba @officialalikiba ni king of all best melodies pekee pia ni Fundi na mwalimu wa muziki 100%. Unaweza kulishuhudia kupitia rekodi label yake ya Kings Music akitoa maelekezo ya Vocal hata upigwaji wa vyombo vya Muziki. Katika zawadi ambazo ametuletea ni uwepo wa Kings Music Jiandae kwa maandalizi ya #TigoFiesta2018 na #FungaMwakanaKingKiba #ChampionWaVibe0 Comments