Quicklists
Premium

ALIKIBA MJENGONI LEO

Published :  5 months ago

Clouds360

Soooma hiiiyoooo........Mfalme kaja Mjengoni na timu kubwa ya vijana wake (#KingsMusic). Kikubwa ni kwamba machalii washasoma ramani na wanajua uelekeo wao ni viwanja vya Posta hiyo Disemba 22 ambayo itakuwa #TigoFiesta2018. Pengine hili litakuwa kundi lenye watu wengi zaidi kupanda kwa pamoja kwenye jukwaa hilo na kutoa #Shukrani1Kubwa.0 Comments